Ingawa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai imekumbana na changamoto kali nchini Kenya, mahakama hiyo ina jukumu muhimu la kuimarisha utendakazi wa sheria nchini Kenya, pamoja na kuwaajibisha viongozi. Huu ni mchango kwa mdahalo wa openGlobalRights kuhusu International Criminal Court. English
While the ICC has encountered serious challenges in Kenya, the Court has an important role to play in strengthening Kenyan rule of law and holding elites to account. A contribution to the openGlobalRights debate on the International Criminal Court. Swahili